P.O. BOX 96, USA RIVER – ARUSHA
0755 103 624 / 0615 439 193
excellentschoolstz@gmail.comExcellent Schools

Admissions 2027

FOMU YA KUJIUNGA NA EXCELLENT SECONDARY 2027

Rudi Homepage
Admissions 2027

Jiunge na Excellent Secondary

Jaza fomu ya maombi ya kujiunga na shule yetu kwa mwaka wa masomo 2027. Elimu bora, nidhamu na mazingira ya kukuza vipaji vyako.

Kidato I–IVBweni na KutwaUsa River, Arusha
● MAOMBI YA KUJIUNGA 2027 YAMEFUNGULIWA — TUMA MAOMBI YAKO SASA ● MAOMBI YA KUJIUNGA 2027 YAMEFUNGULIWA — TUMA MAOMBI YAKO SASA ● MAOMBI YA KUJIUNGA 2027 YAMEFUNGULIWA — TUMA MAOMBI YAKO SASA

SEHEMU A

Taarifa za mwanafunzi

Jaza taarifa kama zilivyo kwenye nyaraka rasmi.

SEHEMU B

Taarifa za afya

Taarifa hizi husaidia shule kuzingatia mahitaji ya afya.

Nyaraka za daktari zinaweza kuwasilishwa ofisini kwa shule.

SEHEMU C

Taarifa za wazazi / walezi

Jaza taarifa za wazazi na mlezi kama zinavyohusika.

Baba mzazi / mlezi

Mama mzazi / mlezi

Mlezi (ikiwa yupo)

SEHEMU D

Tamko la mwanafunzi

Ahadi ya kushirikiana na shule na kuwajibika katika masomo.

Mimi mwanafunzi ninayeomba kujiunga na Excellent Secondary School, ninaahidi kufuata kanuni na miongozo ya shule, kuheshimu maadili ya shule na Wizara ya Elimu, kushirikiana na uongozi na kuwajibika katika masomo yangu.

SEHEMU E

Kiapo cha mzazi / mlezi

Uthibitisho wa taarifa na ushirikiano na shule.

Nathibitisha kuwa taarifa nilizowasilisha ni sahihi. Ninatambua misingi ya shule na ninaahidi kushirikiana na uongozi wa Excellent Secondary School katika maendeleo ya mwanafunzi na kufuata taratibu za shule.

Namba ya maombi itatolewa baada ya kuhifadhiwa kwenye database.