
Excellent Primary School
Shule ya Awali na Msingi inayolenga kujenga msingi imara wa elimu, nidhamu, maadili na uwezo wa mwanafunzi.
- Elimu bora ya Awali na Msingi
- Malezi ya kiroho na kimaadili
- Mazingira salama, rafiki na yenye nidhamu
- Kukuza uwezo na vipaji vya mwanafunzi




